Baadhi ya watu wengi waishio jiji la Dar es salam nchini Tanzania wanaamin ajali nyingi za pikipiki maarufu kama bodaboda husababishwa na wale wanaochukua abiria(waendesha bodaboda) kwa uzembe wao wenyewe.
Swali langu jee na hii video clip ya nchi ya India hizi ajali zinasababishwa na bodaboda? Au ni usafiri binafsi?
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.