Tuesday, 10 March 2015

Hawa ndo watoto wa kidigital kipaji moyoni

Enzi za mwalim hakukuwa na watoto wa aina kama hii.
Nikiwa na maana munamo miaka ya 1970 kurudi nyuma watoto wa miaka hiyo walikuwa ni wastarabu wenye heshima na watiifu naweza sema teknolojia haikuwa imekuwa hivyo kupelekea mpaka watoto kuwa wa kiteknolojia zaid(kidigital) lakini kwa sasa digital imeshika nafasi.
Niulize swali kwa wapenzi wasomajia jee! hichi nacho nikipaji?

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.