soma kurasa za mbele za magazeti ya leo tarehe 12.3
Habari kubwa iliopo kwenye kurasa za magazeti yetu Leo ni ile ajali iliyotokea Jana takribani watu zaid 40 wamepoteza maisha baada ya basi na lori kugongana na basi kuangukiwa na kontena.
Tunawapa pole wale wote walioguswa na msiba huu.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.