Tuesday, 31 March 2015

Hii imeshtua wengi.. Mwili wa marehemu umehusika kwenye ajali wakati wakienda mazishini




RIPHii story iko kwenye Headlines Indonesia.. Ilikuwa ni msiba wa mtu mmoja ambapo wakiwa njiani kwenda kwenye mazishi likatokea tukio jingine, story ikawa kubwa zaidi.
Waombolezaji walikuwa  wamebeba mwili wa marehemu kwenda makaburini kwa ajili ya mazishi, mwili wa marehemu uliokuwa umebebwa ulidondoka bila wao kujua na kuendelea na safari.. watu waliokuwa nyuma yao wakaona mwili huo katikati ya barabara.
Ilibidi wawaite na kuwaambia kwamba mwili wa marehemu walikuwa wameuacha nyuma yao, wakarudi kuuchukua na kuurudishia ndani ya jeneza na kuendelea na safari ya kwenda kuzika.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.