Sunday, 22 March 2015

Mvua zinazoendelea kunyesha zaathiri makaazi ya watu jijini dar es salam









Hali si hali baadhi ya maeneo jijini dar es salam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Baadhi ya wakaazi wamelazimika kuhama makazi yao sababu ya maji kujaa majumbani mwao.
Sehemu kama buguruni mnyamani,kigogo,vingunguti na mmazi mmoja.
Mnazi mmoja kwenye chuo cha DIT,TPSC na CBE.


Buguruni mnyamani


Chemba kubwa ya kupitisha maji iliyoziba buguruni mnyaman



No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.