Tuesday, 10 February 2015

Ajali ya moto katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo FEBRUARY 10

DSCF3616

Wananchi wakishughudia tukio la moto

DSCF3727

Kikosi cha zima moto kikiwa kazini

 Jiji Dar es Salaam leo hali haikuwa shwari  asubuhi, tukio kubwa ni ajali ya moto ambao ulianza katika majengo yanayomilikiwa na Shirika la Nyumba NHC.
Moto ulianza saa tatu asubuhi mtaa wa Libya na Mosque, ambapo ulishika katika majengo matatu ya ghorofa yaliyoongozana na kuunguza vitu ambavyo thamani yake haijafamika.
Vikosi vya Zimamoto vilifika na kuudhibiti moto huo huku wakiendelea na uchunguzi kujua chanzo cha moto huo.
Kamanda wa Polisi Suleiman Kova amesema hakuna mtu aliyefariki wala kuumia kutokana na ajali hiyo.
Hapa kuna picha za tukio hilo.
DSCF3752

Kamanda wa kanda maalum Dar es salam akihojiwa na vyombo vya habari

DSCF3648DSCF3674DSCF3693DSCF3727DSCF3549DSCF3569DSCF3598DSCF3577DSCF3540

Pichaz zote nimezitoa: http: issamichuzi.blogspot.com

 Endelea kutembelea blog yetu upate habari zaid

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.