Tuesday, 10 February 2015

Wema na Zari waingia kwenye vita ya maneno

Hii ndio picha ya Zari
Hii ni kwa mujibu ya picha iliyoonekana kwenye account ya Zari aloyoiscreenshot kwenye account ya wema sepetu.
picha hiyo haipo tena ila mashabiki wa zari walibahatika kuipata kuiweka kwenye account zao.
 kwa jinsi ilivyowasikitisha na kauli ya wema picha yake Zari isemayo "mimba my foot".

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.