Thursday, 19 February 2015

MUENDESHA BODABODA GAFLA KAKUTANA USO KWA USO NA MNYAMA SIMBA KATIKATI YA BARABARA KAMA MOVIE VILE,JE UNAJUA KILICHOENDELEA SOMA HAPA

MUENDESHA BODABODA GAFLA KAKUTANA USO KWA USO NA MNYAMA SIMBA KATIKATI YA BARABARA KAMA MOVIE VILE,JE UNAJUA KILICHOENDELEA SOMA HAPA


Imetokea gafla katika barabara ya Makongolosi kuelekea Rungwe mkoani Mbeya, gafla kwenye kona mnyama simba alikutwa kajipumzisha barabarani katika eneo la pori.
  Wakati magari yakiwa yamesimama jamaa wa bodaboda akatokea bila kujua akataka kupita kwa kasi kuover take ndipo akakutana uso kwa uso na mnyama huyo hatari, hata hivyo aliweza kusimama gafla kugeuka na kukimbia wakati na simba naye akanyanyuka nakuingia porini, kiukweli huyu kijana alipona kwa bahati kwani lasivyo watu wangeshuhudia timbwili la mtu kushambuliwa na simba.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.