Wednesday, 11 February 2015

Ukistaajabu ya Mussa utakuwa hujasikia ya firauni

Ukistajabu ya Mussa itakuwa hujasikia ya firauni alipata kujiita Mungu.
Hawa ndo watoto mapacha wenye vituko kuliko wote niliwahi kuwaona.
Je ukibahatika kupata watoto pacha kama hawa ndani kwako kutatosha kweli.
Hemu jione mwenyewe wanachokifanya watoto hao mapacha dhiki ya baba yao.


Endelea kutembelea blog yetu kila Siku.....

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.