 |
Laurent Koscielny: Akishangilia baada ya kushinda goal..
|
Arsenal waliibuka kidedea baada ya kushinda goli 2-1 dhidi ya Leicester City.
Magoli la Timu ya Arsenal yalifungwa na Laurent Koscielny na Theo Wallcot huku bao pekee la Leicester City ilikifunga Andrej Kramaric.
 |
Mario Balotelli akifungia Liverpool goli.
|
Timu ya Liverpool ilishinda dhidi ya Timu ya Tottenham 3-2.
Magoli ya Liverpool yalifungwa na Lazar Markovic,Steven Gerrad kwa mkwaju wa tuta na Mario Ballotelli aliemalizia dakika ya 83 huku Tottenham Harry Kane akifunga goli la kwanza kabla ya Moussa Ndembele akimaliza katika dakika ya 61.
 |
Nikica Jelavic: akifunga dhidi Aston Villa
|
Hull City ilishinda dhidi ya Aston Villa 2-0
 |
Bobby Zamora akishangika baada ya kuifungia timu yake QPR's goli la pili
|
S'landa na QPR walimaliza 0-2.
Endelea kutembelea Blog yetu kwa habari zaid.....
No comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.