Wednesday, 11 February 2015

video ya mwimbo mpya wa Msanii Ali kiba wife Wa dunia

Mwanamuziki na Msanii Ali kiba au waweza kumuita kingkiba akifanya mazoezi ya live band akijiiandaa na show ya valentine pamoja na Tamasha kubwa la Sauti za Busara linalofanyika kila mwaka huko kisiwani Zanzibar Unguja.
Akiimba nyimbo yake mpya wife wa dunia.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.