Wednesday, 11 February 2015

Inasikitisha kwa kweli "Daima hutoijua thaman ya kitu mpaka kiondoke mikononi mwako"

Hutoijua thaman ya utu mpaka akutoke katika himaya yako" ni usemi uliotawala katika kinywa cha kijana mmoja aitwae dulla na huku akisema maneno haya akiwa katika hali ya huzuni na simazi iliyokuwa imetawala moyoni mwake akimwambia msichana mrembo aliekuwa yupo mbele ya macho yake.
Yale yaliosemwa Jana na niliyokuwa nikiyawaza Leo hii yamejirudia.
Story inaanzia hapo.
Moja ya Siku nilikuwa nikipita zang mitaa ya buguruni wilaya ya ilala mkoan dar es salam.
Bila ya kuwa na hili wala lile nikajikuta kikimkwaa mchana mlembo aliekuwa amekaa kituo cha mabasi pale chama buguruni nyuma ya sehemu ya kupumzikia abiria.
Alikuwa na simanzi huku akilia na mafua kwenye njia nyembamba ya tundu za pua zake.
Nilimuone huruma kwa kweli na hali aliokuwa nayo alistahili msaada.
Nilimuinua huku nikimliwaza angalau apate faraja.
Kulitafuta sehemu ya mgahawa ili niweze kuongea nae kwa yale yaliomsibu.
Niliagizia juice ya Nanasi na keki na yeye aliagiza supu ya kuku na chapati.
Dada unaitwa Nani samahan? Nilimuuliza Kwa roho nyonge alinijibu naitwa khajjat.
Mimi naitwa Abdulaziz. ....... Itaendelea wiki ijayo jumamosi na jumapili SAA NNE asubuh.

Usikose kufatilia story ya dulla na khajjat.
Hapa kwenye blog yetu abdulazizalshirazy.blogspot.com
Based in true story

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.