Tuesday, 17 February 2015

kama kuna bibi aliyechizi basi huyu ni namba 1

Play video

Katika kupita pita zangu nikaifumania hii ya bibi aneonekana ashakula ujana wake ila imekuwa gumu kwake kumeza mana mambo anayoyafanya hata hafananani na uzee wake.
Nilichoka kwanza ama kweli ukiwa Mzee unakuwa unarudi utoto.

No comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.